Hiyo
ni siku chacha baada ya kukamilisha dili la nyota wawili wa kimataifa
kujiunga na timu hiyo kwa dili la miaka miwili ambao ni Tuisila Kisinda
ambaye ni kiungo pamoja na Tonombe Mukoko ambaye yeye ni mshambuliaji.
Mkurugenzi
wa Uwekezaji ndani ya Kampuni ya GSM ambao ni wadhamini wa Klabu ya
Yanga, Injinia Hersi Said amesema kuwa bado kuna nyota wengine wa
kimataifa wanafanya nao mazungumzo hivyo mipango ikamilika wataweka kila
kitu wazi.
"Kuna
nyota mwingine raia wa Angola tupo naye kwenye mazungumzo ya mwisho,
mambo yakikamilika basi kila kitu kitawekwa wazi," amesema.

0 comments:
Post a Comment