Kupitia
ukurasa wake wa Instagram, Morrison ameonyesha picha mpya ya gari na
kuandika maneno ya shukrani kwa bosi wa Simba 'Mo' huku akiweka ujumbe
wa utani kama kijembe kwa wale ambao wanaeleza kuwa hajali wachezaji.
"Asante sana Mo, ni mfano wa kiongozi mkubwa, asante Simba ni hatua nyingine,endeleeni kusema kwamba hajali wachezaji wake."
0 comments:
Post a Comment