SIMON MSUVA ANAVYOJIFUA DIFAA HASSAN EL JADIDA IKIJIANDAA KUIVAA RAJA CASABLANCA SEPTEMBA 21 LIGI YA MOROCCO Kiungo mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Simon Happygod Msuva akiwa mazoezini klabu yake, Difaa Hassan El Jadida ikijiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Morocco Septemba 21 dhidi ya vinara, Raja Casablanca Uwanja wa Mohamed V Jijin9 Casablanca
0 comments:
Post a Comment