Bodi ya Ligi Kuu Bara Tanzania,(TBLB) imeufungia Uwanja wa Karume wa Mara leo Septenba 13 kuchezewa mechi zozote za mashindano kutokana na ubovu wa eneo la kuchezea (pitch) na vyumba vya kubadilishia nguo kutokidhi vigezo na imetoa siku 21 kufanyiwa marekebisho.

0 comments:
Post a Comment