25 Mei 2017

Wacheza tenesi nyota Muagentina
Juan Martin del Potro, na Mromania Simona Halep, huenda wakashindwa
kushiriki michuano ya wazi ya Ufaransa itayoanza jumapili ijayo ya May
28.
Juan Martin del Potro, mwenye umri wa miaka 30 anasumbuliwa
na tatizo la bega na mgongo hivyo huenda akakosa kushiriki michuano
hiyo mikubwa ya mchezo wa tensi duniani. Nae mchezaji namba nne kwa ubora duniani kwa upande wa wanawake Simona Halep ana asilimia hamsini kwa hamsini kushiriki michezo hiyo.
Halep anasumbuliwa na enka aliyoumia katika michuano ya wazi ya Italia
0 comments:
Post a Comment