
Michuano ya kombe la dunia la vijana
chini ya umri wa miaka 20 inaendelea kushika kasi huko nchini Korea ya
kusini ikiwa katika ngazi ya makundi.
Katika michezo ya kundi C
wawakilishi wa Afrika timu ya Zambia walipata ushindi mabao 4-2 dhidi
ya timu ya Iran. Nao Costa Rica wakatoshana nguvu na Ureno kwa Sare ya
bao 1-1.Kwenye kundi D Afrika ya kusini walichapwa na Italia kwa mabao 2-0, huku Uruguay wakiwafunga Japani kwa 2-0.
0 comments:
Post a Comment