Nahodha wa klabu ya
Chelsea John Terry amesema kuwa huenda akastaafu baada ya kuwasaidia
mabingwa hao wapya wa EPL kuilaza Watford kwa magoli 4-3 dimbani
Stamford Bridge.
Terry mwenye miaka 36 ambaye amefunga goli la kwanza katika mchezo huo, ataondoka mwishoni mwa msimu huu.
Terry ameichezea Chelsea michezo 716 hii ikiwa ni tokea mwaka 1998.
Ameisaidia Chelsea kushinda vikombe vitano vya FA, Vitatu vya Ligi ya EPL, kombe la mabingwa Ulaya mara moja na Europa ligi mara 1.
Muonekano mpya wa nahodha huyo wa chelsea akishikilia taji la ligi ya mabingwa barani ulaya timuikiwa chini ya mtaliano Dimatteo
0 comments:
Post a Comment