MAN UNITED MABINGWA UEFA EUROPA LEAGUE 2017, AJAX WAFA 2-0
Wachezaji
wa Manchester United wakifurahia na taji la Europa League baada ya
kukabidhiwa usiku wa Jumatano Uwanja wa Friends mjini Solna, Stockholm
nchini Sweden kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi ya Ajax kwenye fainali,
mabao ya Paul Pogba dakika ya 18 na Henrikh Mkhitaryan dakika ya 47.
0 comments:
Post a Comment