MOURINHO ALIVYOBEBWA JUU JUU NA WASAIDIZI WAKE Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho akiwa amebebwa juu na wasaidizi wake baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya Ajax usiku wa Jumatano kwenye fainali ya Europa League Uwanja wa Friends Arena mjini Stockholm, Sweden
0 comments:
Post a Comment