Dereva Lewis Hamilton amesema
kitendo cha dereva mwenzake Sebastian Vettel kumgonga wakati wa mbio za
Azerbaijan Grand Prix ni cha aibu na hakipaswi kufanywa na dereva
makini.
Madereva hao wawili waligongana wakati mbio hizo zikikaribia mwisho baada ya 
.
Vetel anasema Hamilton alishika breki kwa maksudi ili kumjaribu.
Hamilton akapinga hilo na kusema kitendo hicho sio cha kimichezo

0 comments:
Post a Comment