
Usain Bolt ameaga mashindano ya riadha nchini Jamaica kwa kushinda mbio za mita 100 katika ardhi ya nyumbani Jamaica.
Mwanariadha
huyo mweney umri wa miaka 30, ataaga riadha wakati anastaafu mwezi
Agosti baada ya mashindano ya World Championships mjini London baada ya
kuanza kuwaaga mashabiki wakae huko Kingston Jamaica.Mshindi huyo mara nane ya medali ya dhahabu aliashinda kirahisi mbio za mita 100


Waziri mkuu wa Jamaica Andrew Holness na rais wa chama cha kimataifa cha riadha Sebastian Coe pia walihudhuria.
"Ni vyema kuona kuwa kila mtu alikuja, hii inaonyesha kuwa nilichokifanya kwenye spoti ni kikubwa," alisema Bolt
0 comments:
Post a Comment