Cristiano
Ronaldo akishangilia kibabe baada ya kuifungia Ureno bao la kwanza kwa
penalti dakika ya 33 katika ushindi wa 4-0 dhidi ya New Zealand baada ya
Danilo kuchewa rafu usiku wa Jumamosi Uwanja wa Krestovskyi mjini St Petersburg katika mchezo wa Kundi A Kombe la Mabara. Mabao mengine ya Ureno yalifungwa na Bernardo
Silva dakika ya 37, Andre Silva dakika ya 80 na Luis Nani dakika ya 90
na ushei. Matokeo hayo yanaifanya Ureno ifikishe pointi saba na
kumalizana kileleni sawa na Mexico iliyomaliza na pointi saba pia baada
ya kuifunga Urusi 2-1 na zote zinakwenda Nusu Fainali. Wenyeji Urusi
wameungana na New Zealand kupanda jukwaani kitazama mechi za kumalizia
michuano ya 2017 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Home
»
»Unlabelled
» RONALDO AFUNGA, URENO YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA MABARA
Sunday, June 25, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment