Friday, October 20, 2017


Majengo pacha ya klabu ya Simba yaliyopo Mtaa wa Msimbazi mjini Dar es Salaam yanavyoonekana kwa mbele. Jengo la kushoto lipo tangu miaka ya 1970, wakati kulia ni jengo dogo lililojengwa takriban miaka 13 iliyopita 
Upande wa pili jengo dogo linavyoonekana vizuri, ambalo ndani yake ndio kuna ofisi za viongozi na maktaba ya klabu. Majengo yote yana wapangaji walioweka biashara tofauti, ikiwemo maduka ya bidhaa mablimbali, mgahawa na ofisi za michezo ya kubahatisha   
Majengo ya Simba yapo barabarani kabisa Mtaa wa Msimbazi 
Jengo kuu la Simba linavyoonekana kwa juu 
Limeezekwa na bati tu kama kibanda

0 comments:

Post a Comment