Mshambuliaji Mfaransa, Olivier Giroud akiruka juu kushangilia baada ya kuifungia bao pekee la ushindi Arsenal dakika ya 85 baada ya kazi nzuri ya ushirikiano wa Waingereza Jack Wilshere na Theo Walcott wakiwafunga wenyeji Red Star Belgrade 1-0 katika mchezo wa Kundi H Europa League usiku wa jana Uwanja wa Rajko Mitic mjini Belgrade, Serbia. Dakika 10 za mwiwho Red Star ilicheza pungufu baada ya beki wake wa kushoto, Milan Rodic kutolewa kwa kadi nyekundu kufuatia kuonyeshwa kadi ya pili ya njano
Home
»
»Unlabelled
» GIROUD AING'ARISHA ARSENAL UGENINI MICHUANO YA ULAYA
Friday, October 20, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment