McGregor atamba kumtwanga Mayweather mzunguko wa nne Bondia Conor McGregor ameahidi kumtangwa Floyd Mayweather ndani ya Round nne wawili hao walipokutana katika kulizungumzia pambano lao la Agosti 26. Wametokea mbele ya maelfu yamashabiki wao katika mkutano na waandishi wa habari mjini Los Angeles. Mpambano huo unatajwa kuwa miongoni mwa itakayovutia zaidi duniani.
0 comments:
Post a Comment