
Mwingereza Johanna Konta ameshindwa
kufurukuta dhidi ya Ashleigh Barty baada ya kufungwa katika mchezo wa
raundi ya pili katika michuano ya Wazi ya Wuhan, China.
katika
mchezo huo Konta alijitahidi kukabiliana vikali na mpinzani lakini
mwishoo alijikuta anapoteza mchezo kwa kufungwa 6-0 4-6 7-6 (7-3) .Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26 amepoteza mechi saba za zamani zilizopita tangu kufikia nusu fainali za Wimbledon. Naye Peng Shuai wa china amemgalagaza Petra Kvitova wa Jamhuri ya Czech seti 7-6 (9-7) 6-7 (5-7) 7-6 (7-3) katika mchezo ambao ulijaa upinzani .
0 comments:
Post a Comment