Wachezaji
wa Manchester United wakishangilia ushindi wao wa mabao 4-0 leo dhidi
ya Everton Uwanja wa Old Trafford katika mchezo wa Ligi Kuu ya England.
Mabao ya United yamefungwa na Antonio Valencia dakika ya nne, Henrikh
Mkhitaryan dakika ya 83, Romelu Lukaku dakika ya 89 na Anthony
Martial dakika ya 92 kwa penalti
Home
»
»Unlabelled
» MAN UNITED YAWATANDIKA EVERTON 4-0 OLD TRAFFORD
Monday, September 18, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment