LUIZ ALIMWA NYEKUNDU, CHELSEA YATOA SARE NA ARSENAL DARAJANI 0-0 Beki wa Chelsea, David Luiz akionyeshwa kadi nyekundu dakika 87 kwa kumchezea rafu Sead Kolasinac katika mchezo wa Ligi Kuu ya England dhidi ya Arsenal jioni ya leo Uwanja wa Stamford Bridge, London timu hizo zikitoka sare ya 0-0
0 comments:
Post a Comment