Winga
wa Real Madrid, Gareth Bale akiupitisha mpira juu ya kipa wa Real
Sociedad, Geronimo Rulli kuifungia timu yake bao la tatu dakika ya 61
katika ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji wao hao Uwanja wa Manispaaa ya
Anoeta mjini Donostia-San Sebastian. Mabao mengine ya Real Madird
yalifungwa na Borja Mayoral dakika ya 19 na Kevin Rodrigues aliyejifunga
dakika ya 36 baada ya kuifungia timu yake bao pekee dakika ya 28 katika
mchezo huo wa La Liga
Monday, September 18, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment