Mwanasoka
Bora wa Ulaya na Dunia, Cristiano Ronaldo akifurahia baada ya kuifungia
mabao matatu peke yake Ureno dakika za tatu, 29 kwa penalti na 64
katika ushindi wa 5-1 dhidi ya Visiwa vya Faroe jana kwenye mchezo wa
Kudi B kufuzu Kombe la Dunia Uwanja wa Bessa Seculo XXI mjini
Porto, hiyo ikiwa hat trick yake ya tano kwa timu yake hiyo ya taifa
tangu aanze kuichezea. Mabao mengine ya Ureno yalifungwa na William
Carvalho dakika ya 58 na Nelson Oliveira dakika ya 84, wakati la Faroe
limefungwa na Rogvi Baldvinsson dakika ya 38
Home
»
»Unlabelled
» RONALDO APIGA HAT TRICK, URENO YASHNDA 5-1 KUFUZU KOMBE LA DUNIA
Friday, September 1, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment