James McClean wa Jamhuri ya Ireland akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao pekee dakika ya 57 ikiwalaza wenyeji, Wales 1-0 katika mchezo wa Kundi D kufuzu Kombe la Dunia mwakani Urusi uliofanyika jana Uwanja wa Cardiff City mjini Cardiff. Na kwa ushindi huo, Wales inafuzu Kombe la Dunia
Home
»
»Unlabelled
» JAMES MCCLEAN AIPELEKA JAMHURI YA IRELAND URUSI 2018
Tuesday, October 10, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment