MAN UNITED WAINGIA KAMBINI TAYARI KUWAVAA HUDDERSFIELD KESHO Wachezaji wa Manchester United, Romelu Lukaku (katikati) na Juan Mata (kulia) wakiingia kambini katika hoteli ya Lowry leo kwa ajili ya mchezo wao wa kesho wa Ligi Kuu ya England dhidi ya wenyeji, Huddersfield Uwanja wa John Smith
0 comments:
Post a Comment