Luis Suarez akishangilia baada ya kuifungia Barcelona bao la kusawazisha dakika ya 82 ikitoa sare ya 1-1 na wenyeji, Atletico Madrid walioangulia kwa bao la Saul Niguez dakika ya 21 katika mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Wanda Metropolitano mjini Madrid
0 comments:
Post a Comment