Mshambuliaji
wa Paris St Germain, Edinson Cavani akishangilia baada ya kufunga mabao
mawili dakika za 38 na 79 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Nantes jana
kwenye mchezo wa Ligue 1, Ufaransa Uwanja wa Parc des Princess mjini
Paris. Mabao mengine ya PSG yalifungwa na Angel Di Maria dakika ya 42 na
Javier Pastore dakika ya 65, wakati la Nantes lilifungwa na Prejuce Niguimbe Nakoulma dakika ya 60
Home
»
»Unlabelled
» CAVANI AENDELEZA MOTO WA MABAO PSG IKIITANDIKA 4-1 NANTES
Sunday, November 19, 2017
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment