Carl
Frampton wa Ireland Kaskazini (kulia) akimchapa ngumi mpinzani wake,
Horacio Garcia wa Mexico (kushoto) katika pambano la uzito wa Feather
lisilo la ubingwa usiku wa jana ukumbi wa SSE Arena mjini Belfast. Frampton alishinda kwa pointi ingawa alikalishwa na mpinzani wake raundi ya saba
0 comments:
Post a Comment