Mwanasoka
Bora wa Dunia, Cristiano Ronaldo akimiliki mpira dhidi ya wachezaji
wenzake wakati wa mazoezi ya Real Madrid jana Uwanja wa Neo GSP mjini Nicosia nchini Cyprus kujiandaa na mchezo wa leo Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya wenyeji, APOEL
0 comments:
Post a Comment