Kiungo
mpya mshambuliaji wa Ndanda FC, Mrisho Khalfan Ngassa (kushoto)
akifurahia na wachezaji wenzake wa timu hiyo katika ufukwe wa Bahari ya
Hindi juzi baada ya mazoezi ya kujiandaa na mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom
Tanzania Bara dhidi ya Simba SC Jumamosi Uwanja wa Nangwanda Sijaona,
Mtwara
0 comments:
Post a Comment