SALAH AFUNGA MAWILI LIVERPOOL YAIBAMZIA LEICESTER CITY 2-1 Mshambuliaji Mohamed 'Mo' Salah akishangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika za 52 na 76 Liverpool ikitoka nyuma kwa bao la Jamie Vardy aliyefunga dakika ya tatu na kushinda 2-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Anfield leo
0 comments:
Post a Comment