Nyota wa tenisi Serena Williams atarejea uwanjani huko Abu Dhabi wiki ijayo miezi minne baada ya kujifungua.
Serena
mwenye umri wa miaka 36, atakutana mchezaji nambari saba duniani Jelena
Ostapenko tarehe 30 Disemba wakati wa mechi ya ubingwa wa dunia ya
MubadalaAlijifungua mtoto msichana Alexis Olympia Ohanian mwezi Septemba.

Mkurugenzi wa Australian Open, Craig Tilley amesema kuwa Williama anatarajiwa kutetea taji lake katika mechi ya mwaka 2018 ambayo itaanza Januari 15.
Rafael Nadal, Milos Raonic na Stan Wawrinka wamejiondoa kutoka kwa Mubadala ambayo itachezwa kati ya 28-30 Disemba.

0 comments:
Post a Comment