Romelu
Lukaku akishangilia baada ya kuifungia Manchester United bao la pili
dakika ya 90 ikiichapa 2-0 Derby Count katika mchezo wa Kombe la FA
England usiku wa Ijumaa Uwanja wa Old Trafford na kutinga Raundi ya Nne. Bao la kwanza la United limefungwa na Jesse Lingard (kulia) dakika ya 84
0 comments:
Post a Comment