Cristiano
Ronaldo akitumia simu ya Daktari wa timu yake kuangalia namna
alivyoumia shingoni baada ya kupigwa teke na Fabian Schar wa Deportivo
La Coruna leo wakati wa mchezo wa La Liga Uwanja wa Santiago Bernabeu
mjini Madrid, timu yake, Real Madrid ikishinda 7-1 huku yeye akifunga
mabao mawili
0 comments:
Post a Comment