Memphis
Depay akionyesha tattoo yake ya Simba baada ya kuifungia bao la pili
Olympic Lyon dakika ya 90 na ushei ikiwalaza 2-1 Paris Saint-Germain
katika mchezo wa Ligue 1, Ufaransa Uwanja wa Groupama mjini Lyon.
Nabil Fekir aliifungia bao la kwanza Lyon dakika ya pili, kabla ya
Layvin Kurzawa kuwasazishia wageni dakika ya 45 na ushei katika mchezo
ambao, mshambuliaji wa PSG, Kylian Mbappe alitolewa kwa machela dakika
ya 36 baada ya kuumia kufuatia kugongana na Anthony Lopes na nafasi yake
kuchukuliwa na Julian Draxler
Home
»
»Unlabelled
» DEPAY AWATEKETEZA PSG...AFUNGA LA USHINDI LYON YAUA 2-1
Monday, January 22, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment