Luis
Suarez (kushoto) na Lionel Messi (kulia) wakifurahi baada ya wote
kufunga mabao manne katika ushindi wa 5-0 wa Barcelona wa 5-0 dhidi ya
Real Betis usiku wa jana Uwanja wa Benito Villamarin mjini
Sevilla kwenye mchezo wa La Liga. Messi alifunga dakika za 64 na 80 na
Suarez dakika za 69 na 89 baada ya Ivan Rakitic kufunga la kwanza dakika
ya 59
Home
»
»Unlabelled
» SUAREZ NA MESSI KILA MMOJA AFUNGA MAWILI BARCA YASHINDA 5-0
Monday, January 22, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment