Nyota
wa Real Madrid, Gareth Bale akipambana kumpita mchezaji wa Espanyol,
David Lopez (kushoto) katika mchezo wa La Liga usiku wa Jumanne Uwanja
wa RCDE. Espanyol imeshinda 1-0 bao pekee la Gerard Moreno
dakika ya 90 na ushei. Leo Real ilimpumzisha nyota wake, Cristiano
Ronaldo kuelekea mechi ya marudiano ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa na
wenyeji, Paris Saint Germain
Home
»
»Unlabelled
» BILA RONALDO NA REAL MADRID YACHAPWA KIMOJA TU
Wednesday, February 28, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment