Kiungo wa kati wa
Real Madrid na mjerumani Toni Kroos, 28, ni lengo kuu la Manchester
United, ikitaka achukue mahala pake Michael Carrick ambaye anastaafu
msimu ujao. (Independent)
Alan Pardew anajaribu kuokoa kazi yake
huko West Brom na kipigo walichokipata kutoka Huddersfield siku ya
Jumapili kinaweza kumaliza kuwepo kwake katika klabu hiyo baada ya wiki
12 tu.
Paris St-Germain hawana nia ya kumsaini mlinzi wa Manchester United Marcos Rojo, 27, licha ya kuhushwa na mpango wa pauni milioni 30 na mchezaji huyo wa Argentina. (ESPN)

Ajenti wa Nabil Fekir amekataa kuthibitisha ikiwa kiunga huyo wa kati wa Ufaransa ambaye amelengwa na Arsenal atajiunga na Lyon msimu ujao. (Telefoot via Mirror)

Mshambuliaji wa Argentina Leonardo Ulloa, 31, anasema anataka kufanya kuhama kwake kwa mkopo kutoka Leicester kwenda Brighton kuwa wa kudumu mwisho wa msimu. (Argus)
Klabua ya Sunderland imetangazwa kuzwa kwa pauni milioni 50. Klabu hiyo imekuwa ikizushwa ngazi mara kwa mara. (Mirror)
Kylian Mbappe atakamilisha kuhama kwake kwa pauni milioni 166 kutoka Monaco ikimaanisha kuwa PSG watamnunua mchezaji huyo wa miaka 19 raia wa Ufaransa baada ya kuepuka kuzushwa. (Mail)

Meneja wa West Bromwich Albion Alan Pardew ana mechi mbili za kuokoa kazi. (Sun)
Paris St-Germain wanafikiria kutumia pauna millioni 30 kumsaini mlinzi wa Manchester United Marcos Rojo, 27. Mkataba wa raia huyo wa Argentina huko Old Trafford unafikia mwisho msimu ujao. (Sun)
0 comments:
Post a Comment