MAANDALIZI YA MWISHO YA LIVERPOOL KABLA YA KUIVAA MAN CITY Mohamed Salah (kushoto) na Roberto Firmino (kulia) wakiwa mazoezini jana kujiandaa na mchezo wa kwanza wa Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Manchester City leo Uwanja wa Anfield
0 comments:
Post a Comment