Kocha
wa timu ya taifa ya England, Gareth Southgate akizungumza na
mshambuliaji Harry Kane, ambaye yuko nje ya kikosi kwa sababu ya maumivu
ya mguu. Lakini jana wakati anazungumza na Southgate
kwenye mazoezi ya Three Lions jana viwanja vya Enfield, ikijiandaa na
mechi ya kirafiki dhidi ya Italia kesho, Kane hakuwa na magongo ya
kutembelea kuashiria amepata ahueni ya maumivu yake aliyoyapata mapema
mwezi huu katika mchezo na Bournemouth na kutakiwa kuwa nje kwa wiki sita
Home
»
»Unlabelled
» HARRY KANE AMEPONA? AKUTANA NA SOUTHGATE BILA MAGONGO
Monday, March 26, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment