Kevin
De Bruyne (kulia) akishangilia baada ya kuifungia bao la ushindi
Manchester City kwa penalti dakika ya 83 ikiwalaza 2-1 wenyeji, Real
Madrid usiku wa jana Uwanja wa Santiago Bernabeu Jijini Madrid kwenye
mchezo wa kwanza hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya. Real Madrid
ilitangulia kwa bao la Isco dakika ya 60, kabla ya Gabriel Jesus
kuisawazishia Man City dakika ya 78 na timu hizo zitarudiana Machi 17
Uwanja wa Etihad, Mancheste
Home
»
»Unlabelled
» MANCHESTER CITY WAIKANDAMIZA REAL MADRID 2-1 PALE PALE BERNABEU
Thursday, February 27, 2020
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment