Mshambuliaji
Lionel Messi akikimbia kwenye mazoezini ya timu yake ya taifa,
Argentina jana mjini Madrid ikijiandaa na mchezo wa kirafiki dhidi ya
Hispania kesho Uwanja wa Wanda
Metropolitano baada ya kukosekana kwenye mechi na Italia wakishinda 2-0
Ijumaa Uwanja wa Etihad kiutokana na maumivu ya nyama za paja
Home
»
»Unlabelled
» MESSI ANAONEKANA YUKO FITI KUIVAA HISPANIA KESHO MADRID
Monday, March 26, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment