Mshambuliaji
wa Ureno, Cristiano Ronaldo akijinyoosha kwenye mazoezi ya timu yake ya
taifa jana kujiandaa na mchezo wa leo wa kirafiki wa kimataifa dhidi ya
Uholanzi Uwanja wa Geneva nchini
Uswisi baada ya Ijumaa kufunga mabao mawili ndani ya dakika mbili za
mwisho timu yake ikitoka nyuma kwa 1-0 na kushinda 2-1 dhidi ya Misri
Home
»
»Unlabelled
» RONALDO ALIVYO TAYARI KUICHEZEA URENO DHIDI YA UHOLANZI LEO
Monday, March 26, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment