Wachezaji wa klabu ya Chelsea wameanza kurejea kwenye mazoezi baada ya kutoka kwenye mapumziko na wengine wakitokea kwenye michuano ya kombe la dunia Urusi.

Idadi kubwa ya wachezaji ambao hawakuwemo
kwenye michunia ya kombe la dunia Urusi tayari wamejiunga na mazoezi
wakiongozwa na Cesc Fabregas pamoja na David Luiz, Emerson Palmieri na
Davide Zappacosta.

Picha za matukio mbalimbali ya wachezaji wa Chelsea wakifanya mazoezi kujiandaa na mwanzo wa msimu.




0 comments:
Post a Comment