
Mabao hayo manne ya Shaban Idd Chilunda yanamfanya kufikisha humla ya goli saba katika michuano ya mwaka huu na kuongoza katika safu ya wapachikaji mpaka sasa.
Katika michuano ya CECAFA Kagame Cup inayoendelea jijini Dar eslaam, Azam FC wamefanikiwa kukata tiketi ya kuingia nusu fainali na hivyo kuumana na Gor Mahia FC ya nchini Kenya.
Wakati kwa upande wa Simba SC ambayo ilijikatia tiketi hiyo hapo jana inasubiri mshindi wa usiku wa leo kati ya JKU au Singida United .
0 comments:
Post a Comment