Harry
Wilson (wa pili kulia) akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia
Liverpool mabao mawili katika ushindi wa 7-0 dhidi ya Chester kwenye
mchezo wa kirafiki Uwanja wa Swansway Chester jana. Mabao mengine ya
Liverpool katika mchezo ambao wachezaji wapya, viungo Naby Keita na
Fabinho walioigharimu klabu karibu Pauni Milioni 100 walicheza kwa mara
ya kwanza baada ya kusailiwa, yalifungwa na Daniel Sturridge mawili pia,
Ryan Kent, Danny Ings na James Milner kwa penalti
Home
»
»Unlabelled
» LIVERPOOL YASHINDA 7-0 MAANDALIZI YA MSIMU MPYA KEITA NA FABINHO WAKICHEZA
Sunday, July 8, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment