Neymar
akiwa amebewa mabegani na Paulinho baada ya mshambuliaji huyo kuifungia
Brazil bao la kwanza dakika ya 51 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Mexico
leo kwenye mchezo wa hatua ya 16 Bora Kombe la Dunia Uwanja wa Samara
Arena nchini Urusi. Bao lingine la Brazil limefungwa na Roberto
Firmino dakika ya 88 na sasa watakutana na mshindi kati ya Ubelgiji
na Japan kwenye Robo Fainali
Home
»
»Unlabelled
» NEYMAR, FIRMINO WAFUNGA BRAZIL YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA DUNIA
Tuesday, July 3, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

0 comments:
Post a Comment