Mesut
Ozil (katikati) akifurahia na wenzake baada ya kuifungia Arsenal bao la
pili dakika ya 58 ikishinda 2-1 dhidi ya wenyeji, Newcastle United
kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa St James' Park. Bao la
kwanza la Arsenal lilifungwa na Granit Xhaka dakika ya 49, wakati la
Newcastle lilifungwa na Ciaran Clark dakika ya 90 na ushei
Home
»
»Unlabelled
» ARSENAL YAENDELEA KUNG'ARA, YAICHAPA NEWCASTLE 2-1
Sunday, September 16, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment