Mwenyekiti
wa Bodi ya Ukurugenzi ya Simba SC, Mohamed 'Mo' Dewji (kushoto)
akimkabidhi jezi mpya, shabiki Kindio Hassan kama fidia baada ya
kuchaniwa jezi yake na mashabiki wa Yanga juzi kwenye kilele cha Wiki ya
Mwananchi, tafrija ya wapinzani wao hao Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini
Dar es Salaam
0 comments:
Post a Comment