MWENYEKITI WA KAMATI YA UCHAGUZI TFF, MCHUNGAHELA AJIUZULU BAADA YA KUPEWA MAJUKUMU MENGINE MWENYEKITI wa Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Malangwe Ally Mchungahela amejiuzulu wadhifa huo kufuatia kuteuliwa kuwa Kaimu Msajili wa Vyama vya Michezo za Klabu.
0 comments:
Post a Comment