Isco
(kulia) akipongezana na Marcelo baada ya kuifungia Real Madrid bao la
kusawazisha dakika ya 63 akimalizia krosi ya Gareth Bale kufuatia
kuingia akitokea benchi dakika ya 61 kuchukua nafasi ya Luca Modric
katika sare ya 1-1 na wenyeji, Athletic Bilbao waliotangulia kwa bao
la Muniain dakika ya 32 Uwanja wa San Mames Barria
Home
»
»Unlabelled
» ISCO ATOKEA BENCHI NA KUINUSURU REAL MADRID KUCHAPWA
Sunday, September 16, 2018
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment