
Jana klabu ya Yanga ilipata ushindi wa goli 4-3 dhidi ya Stand United huku timu hiyo kutoka mitaa ya Jangwani kufungwa magoli yote matatu na mchezaji mmoja ambaye ni Alex Kitenge,katika uwanja wa taifa Dar Es Salaam.

Wakati Yanga wakipata ushindi huo wa goli 4-3 wapinzani wao wakubwa Simba walikuwa Mtwara walipomenyana na Ndanda FC na wekundu hao wa msimbazi kualzimishwa sare ya bila kufungana na timu hiyo ya Ndanda.

Manara amekuwa akimtania mlinda mlango wa Yanga Kindoki, Haya ndio maneno ya Manara:-



0 comments:
Post a Comment