Cristiano
Ronaldo akipiga shuti wakati wa mazoezi ya Juventus jana mjini Turin
kujiandaa mchezo wa Serie A dhidi ya Sassuolo kesho baada ya kucheza
mechi tatu awali bila kufunga kufuatia kusajiliwa kwa Pauni Milioni 100
kutoka Real Madrid miezi miwili iliyopita
0 comments:
Post a Comment